# Lakini wakati huu wote sikuwepo Yerusalemu "Wakati huo yote haya yalitokea, nilikuwa mbali na Yerusalemu" # mabaya ambayo Eliashibu alikuwa amefanya kwa kumpa Tobia chumba cha kuhifadhi katika mahakama ya nyumba ya Mungu Hiki ilikuwa chumba ambacho hapo awali kilikuwa kitakasolewa kuhifadhi vitu vya sadaka (13:4).