# Nehemia mwana wa Azbuki, mtawala Nehemia alikuwa mtawala, si Azbuki. # Nehemia Huyu ni mtu tofauti aitwaye Nehemia kutoka kwa mtu aliyeandika kitabu hiki. # mtawala "msimamizi mkuu" au "kiongozi" # nusu ya wilaya "Nusu" ina maana sehemu moja kati ya sehemu mbili sawa # Nehemia...Azbuki...Rehumi....Hashabia Haya ni majina ya watu. # Beth-suri...Keila Haya ni majina ya mahali # kujenga mahali... Walawi walijenga Maneno haya yanataja kutengeneza ukuta. AT "aliandaa ukuta hadi mahali ... Walawi walijenga ukuta" # watu wenye nguvu "wapiganaji" # kwa wilaya yake "anayewakilisha wilaya yake" au "kwa niaba ya wilaya yake"