# jua litatiwa giza Hii inaweza kuwa kati hali tendaji. "jua litatiwa giza" # mwezi hautatoa mwanga wake Hapa mwezi umeongelewa kama ulikuwa hai na waweza kutoa kitu chochote kwa mtu fulani. "mwezi hautato mwanga" au "mwezi utatiwa giza" # nyota zitaangika kutoka angani Hii haimanishi kwamba zitaanguka chini lakini ni kwamba zitaanguka kutoka pale zilipo kwa sasa. # nguvu zilizoko mbinguni zitatikisika Hii inaweza kuwa kati hali tendaji. "Mungu ataitingisha nguvu zilizoko mbinguni" # nguvu Hili ni jina la maelezo juuya sayari na linaweza kuwa pamoja na nyote. # mawinguni "mawinguni" # Kisha watamuona "Kisha watu watamuona" # kwa nguvu kubwa na utukufu "nguvu na utukufu" # atawakusanya Neno "ata" urejea kwa Mungu na kirai kwa malaika wake, kama wao watakao kusanya wateule. "watawakusanya" au "malaika wake watawakusanya" # pande kuu nne Ulimwengu wote umesemwa kuwa kama "pande kuu nne" ambazo zinarejea kwa pande nne: kaskazini, kusini, mashariki, na magharibi. # kutoka mwisho wa dunia mpaka mwisho wa mbingu. Huku kulikokithiri kumetolewa msisitizo kwamba wateule watakusanywa kutoka ulimwengu wote. "kutoka kila eneo ulimwenguni"