# Maelezo ya ujumla Biblia ya UDB hutumia mstari kama daraja kuunganisha mistari ya 21 na 22, kusema maelezo anayowambia watu ili kwamba iwe rahisi kuelewa. # Wakristo wa uongo "watu wanaodai kuwa wao ni Kristo" # ili kwamba wa kuwadanganya Neno linalokosekana linaweza kuongezwa. "ili kwamba kuwadanganya watu" # kama inawezekana, hata wateule Maelezo yanayokosekana yanaweza kuongezwa. "Kama inawezekana, hata wanaweza kuwadanganya wateule" au "hata wataweza kujaribu kuwadanganya watu ambao Mungu amekwisha wachagua." # Iweni macho "Iweni macho" # Nimwekwisha wambia haya yote kabla ya wakati Yesu aliwambia mambo haya kuwaonya. "Nimewambia nyinyi haya yote kabla ya wakati kuwaonya"