# kikombe nitakacho kinywea Yesu anatumia maneno haya kurejea kwenye mateso ambayo yuko karibu kuyapitia. # ubatizo ambao nitabatizwa kwao Yesu anatumia maneno haya kurejea kwenye mateso ambayo yuko karibu kuyapitia.