# Sentensi unganishi Yesu na wanafunzi wake waliiacha nyumba pale walipokuwa na Yesu baada ya kumponya kijna aliyekuwa na pepo. Anatumia muda kuwafundisha wanafunzi wake peke yao. # Kupitia Kwenda kupitia",au"Kupitia kwa" # Walienda nje ya hapo "Yesu na wanafunzi wake waliondoka mkoa huo" # kupitia "alisafiri kupitia" # kwa kuwa alikuwa anafundisha wanafunzi wake Yesu alikuwa anafundisha wanafunzi wake kwa faragha, mbali na umati. # Mwana wa Adamu Hapa Yesu anarejea kwake mwenyewe kama Mwana wa Adamu. Hili ni jina muhimu sana kwa Yesu. "Mimi, Mwana wa Adamu," # katika mikono ya wanaume Hapa "mikono" ni kirai cha kuthibiti. "katika udhibiti wa wanaume" # Wakati alipouwawa, baada ya siku tatu Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "Baada ya kumuua na siku tatu kupita." # walikuwa wameogopa kumuuliza Walikuwa wameogopa kumuuliza Yesu hii sentensi ilikuwa ina maana gani. "walikuwa wameogopa kumuuliza ilimaanisha nini"