# Pia walipata Hapa neno "wali..." linatumika kurejea kwa Yesu na wanafunzi wake. # alishukuru "Yesu alishukuru kwa samaki" # Walikula "Hawa watu walikula" # walikusanya "wanafunzi walikusanya" # vipande vilivyo baki, vikapu vikubwa saba Hii inaweza kuwa msaada kuongeza taarifa zilizokosekana. "vipande vilivyo baki vya mkate na samaki, ambavyo vilijaza vikapu saba vikubwa. # Na aliwaacha waende Hii inaweza kuwa msaada kufafanua ambapo Yesu anawaacha waende. "Na baada ya kula, Yesu aliwaacha waende" # wakaenda katika ukanda wa Dalmanuta Hii inaweza kuwa msaada kufafanua namna ya kwenda Dalmanuta. "walipiga mashua kupitia bahari ya Galilaya mpaka Dalmanuta"