# Sentensi unganishi Wakati Yesu na wanafunzi wake wanafika Genesareti wakiwa katika mtumbwi wao, watu wanamuona na kumletea watu awaponye. Hii inatokea kokote waendako. # Genesareti Hili ni jina la mkoa kaskazi mwa magharibi mwa Bahari ya Galilaya. # mara wakamtambua "watu pale walimtambua Yesu" # walikimbia...waliposikia Neno "wa" urejea kwa watu waliomtambua Yesu, wala si kwa wanafunzi. # wagonjwa Neno hili urejea kwa watu. "watu wagonjwa"