# Sentensi unganishi Yesu anatuma wanafunzi wake nje wawili wawili kuhubiri na kuponya. # aliwaita kumi na wawili Hapa neno "aliwaita" linamaanisha kuwa aliwaita kumi na wawili waje kwake. # Wawili wawili " 2 kwa 2" au "jozi" msivae kanzu mbili msichukue shuka nyingine." # hapana mkate Hapa "mkate" ni neno yenye maana sawa na chakula kwa ujumla. # hapana pesa katika mkoba Katika utamaduni, wanaume walibeba pesa zilizowekwa katika mkanda. "hapana pesa iliwekwa kwenye mfuko wa pesa"