# Akawambia "Yesu akawambia umati" # kwa kuwa kipimo mpimacho maana zinazowezekana ni 1) Yesu anazungumza kipimo halisi na ukarimu kwa wengine au 2) huu mfano ambao Yesu anazungumzia wa "kuelewa" kama ilikuwa ni "kupima" # ndicho mtakachopimiwa, na itaongezwa kwenu Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "Mungu atakupima, na atakuongezea" # yeye atapokea zaid...na yule vitachukuliwa Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "kwa yeye Mungu atampa zaidi...kutoka kwake Mungu atavichukua"