# Sikilizeni "Zingatia" # Alipokuwa akipanda "Alipokuwa akipanda mbengu juu ya udongo." Kwa tamaduni zingine watu walipanda mbingu kwa utofauti. Katika mfano huu mbengu zilipandwa kwa kutupwa juu ya ardhi iliyokuwa imeandaliwa kwa kukuza. # ziliota "zilianza kuota kwa haraka" # udongo Hii inarejea kupoteza uchafu juu ya ardhi ambapo utapanda mbengu.