# Sura yake "Sura ya malaika" # ilikuwa kama ya umeme "ilikuwa inang'aa kama ya umeme" # mavazi yake yalikuwameupe kama theluji "mavazi yake yalikuwa meupe sana kama theluji" # na kuwa kama wafu Huu ni msemo unaomaanisha kuwa wale maaskari walianguka chini na hawakuweza hata kutikisika. "na walianguka chini na kulala pale kama watu waliokufa"