# Sentensi unganishi Yesu anahitimisha kuwaambia wanafunzi wake jinsi atakavyowahukumu watu atakapokuja mara ya pili # Maelezokwa ujumla Huu ni mwisho wa sehemu ya habari inayoanzaia 23:1, mahali ambapo Yesu anafundisha juu ya wokovu na hukumu ya mwisho. # Wao pia watamjibu. "Hao walioko kushoto pia watamjibu" # Mmoja wa wadogo hawa. "Kwa yeyote kati ya watu wangu walio wadogo." # Hamkunitendea mimi. "Nina jali kuwa hamkufanya kwa aajili yangu" au "Mimi ndiye hasa yule ambaye hamkumsaidia" # Hawa watakwenda katika adhabu ya milele "Mfalme atawapeleka hawa kwenye eneo amablo watapata adhabu ambayo haitakoma" # Wenye haki kwenda katika uzima wa milele. "Watu wenye haki wataenda katika uzima wa milele." # bali wenye haki katika uzima wa milele "lakini mfalme atawapeleka hawa mahali ambapo wataishi milele pamoja na Mungu" # wenye haki "watu wenye haki"