# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kueleza mfano wa watumishi na talanta # mnyang'anyeni hiyo talanta Bwana anawaambia wale watumishi wengine # talanta Tazama 25:14 # aliye na "anayetumia vizuri alicho nacho" # ataongezewa zaidi "Mungu atampa zaidi" # hata kwa kuzidishiwa "hata zaidi" # kwa yeyote asiye na kitu "Kwa yeyeote asiyetumia vizuri hicho alicho nacho. # Ambapo kutakuwa na kilio na kusaga meno "Mahali ambapo watu watalia na kusaga meno yao." # "nacho atanyang'anywa" nitakiondoa # mtupeni nje gizani huyo mtumishi asiyefaa, ambako kutakuwa na kilion a kusaga meno "nje gizani ambako kuna kilio na kusaga meno"