# Sentensi unganishi Yesu anahitimisha majibu yake kwa Mafarisayo # Maelezo kwa ujumla Katika mstari wa 8 na 9Yesu anamnukuu nabii Isaya kwa kuwakemea Mafarisayo na waandishi # ni vyema kama Isaya alivyotabiri juu yenu Isaya alisema ukweli katika unabii wake juu ayenu # alaposema aliposema kile ambacho Mungu alisema # watu hawa wananiheshimu mimi kwa midomo yao Watu hawa wanasema kweli kwangu # kwangu viwakilishi vya "kwang"u vinaanisha Mungu # lakini mioyo yaoiko mbali na mimi watu hawjajitoa kwa ukweli kwa Mungu # wananiabudu bure "Ibaada zao hazina maana kwangu" au "wanaigiza kuniabudu mimi" # maagizo ya wanadanu "shseria ambazo watu hutengeneza