# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kuwaelekeza wanafunzi wake juu ya dhiki amabyo wanapaswa kuivumilia wakati watakapoenda kuhubiri # Melezo kwa ujumla Hapa Yesu pia anaanza kutoa sababa kwa nini wanafunzi wake hawapaswi kuiogopa dhiki ambayo itawapata. # Msiwaogope wale wanaoua mwili lakini hawana uwezo wa kuua roho Hii haina maana ya kutenganisha kati ya watu wanaoweza kuua mwili na wale wanaoweza kuua roho. Hakuna mtu anayeweza kuua roho. "Msiwaogope watu. Wanaweza kuua mwili, lakini hawawezi kuua roho" # Kuua mwili Hii inamaanisha kusababisha mauti ya mwili. Ikiwa maneno haya ni magumu, yanaweza kutafsiriwa kama "kukua wewe" au "Kuua watu wengine." # mwili Sehemu ya mtu inayoweza kuguswa, tofauti na roho au nafsi isiyoweza kuguswa. # kuua roho kudhuru watu baada ya kufa # roho sehemu ya mwanadamu ambayo haiwezi kuguswa na ambayo inaishi baada ya kifo cha mwili # mwogopeni yule anayeweza unaweza kuongeza "kwa sababu" ili kufafanua kwa nini watu wamwogope Mungu. "Mwogopeni Mungu kwa sababu yeye anaweza" # Je, mashomoro wawili hawauzwi kwa senti ndogo Yesu anaieleza mithali hii kwa njia ya swali kuwafundisha wanafunzi wake. "Fikiria kuhusu mashomoro . Wana thamani ndogo sana kiasi kwamba unaweza kuwanunua wawili kwa salafu kidogo. # Mashomoro Hawa ni ndege wadogo, wanaokula mbegu. "ndege wadogowadogo" # sarafu ndogo Hii mara nyingi inatafsiriwa kama sarafu yenye thamani ndogo kabisa katika nchi. inamaanisha sarafu ya shaba thamani yake ni sawa na sehemu ya kumi na sita ya malaipo ya kibarua. "kiasi kidogo cha fedha" # hakuna anayeweza kuanguka chini bila baba yenu kufahamu Haya maelezo yanaweza kutafsiriwa kataika mfumo tendaji. "Baba yenu anafahamu hata shomoro mmoja akifa na kuanguka chini" # Baba Hii ni sifa muhimu ya Mungu # Hata idadi ya nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa Hii inaweza kuelezeka katika mfumo tendaji. "Mungu anajua hata kiasi cha nywele kichwani pako" # zimehesabiwa "zimehesabiwa" # Mnathamani zaidi kuliko kasuku wengi "Mungu anawathamini kuliko mashomoro wengi"