# niruhusu kwanza niende na kumzika baba yangu Aieleweki kwamba baba wa mtu alikufa na angemzika mapema, au ikiwa mtu anaataka akae muda mrefu baba yake afe na amzike. Pointi ya muhimu mtu anataka kufanya kitu kingine kwanza kabla ya kumfuata Yesu. # uwaache wafu wazike wafu wenzao Yesu hana maana halisi kwamba watu wafu watazika wafu wengine. Tafsiri inayowezekanaya "wafu" ni 1) ni msemo kwa wale ambao watakufa punde, au 2) ni msemo kwa wale ambao hawamfuati Yesu na kiroho wamekufa. Pinti ya muhimu ni kwamba wanafunzi wasiruhusu kitu chochote kumchelewesha kumfuata yesu.