# bado na furaha iliyochanganyikana na kutokuamini "bado hawakuweza kuamini kwamba ni ukweli kabisa." Walikuwa na furaha sana, lakini wakati huohuo, ilikuwa ngumu kwao kuamini kwamba ni kweli kabisa imetukia. # na kustaajabu "na walishangazwa" au "na kustaajabu hili laweza kutokeaje" # mbele yao "mbele yao" au "wakiwa wanatazama"