# wale waliokuwa karibu na Yesu Hii inaonyesha wanafunzi wa Yesu. # hayo yanayotokea Tafsiri mbadala: "kwamba makuhani na maaskari walikuwa na watu wa kumkamata Yesu" # akampiga mtumishi wa kuhani mkuu "akampiga mtumishi wa kuhani mkuu kwa panga" # akagusa sikio lake Tafsiri mbadala: "akamgusa mahali ambapo sikio lake lilikuwa limekatwa"