# Sentensi unganishi Siku ya pili baada ya Yesu kubali muonekano, Yesu alitoa pepo lililokuwa limemuingia kijana ambae wanafunzi walishindwa kumponya. # Ikatokea Hii tungo inaashiria mwanzo wa sehemu nyingine ya hadithi, Kama lugha yako ina maana nzuri zaidi , unaweza fikiria kuitumia hapa. # Tazama, mwanaume kutoka kwenye kusanyiko Neno "tazama" linatujulisha juu ya mtu mpya anaetokea kwenye hadithi. lugha yako ina maana nzuri zaidi. Kiingereza kinatumia "kulikuwa na mwanaume kwenye kusanyikao" # unaona, roho Tungo "unaona" inatutambulisha kwa pepo kwenye hadithi ya mwanadamu. lugha yako ina maana nzuri zaidi. Kiingereza kinatumia "kulikuwa na pepo" # Lilitoka kwa tabu inaweza kuwa na maana hizi 1) "vigumu kumuacha kamwe mwanangu" (UDB) au 2) "ni ngumu kwa mwanangu wakati linatoka" # povu mdomoni Wakati mtu anamshituko, wanaweza kupata shida kupimua au kumeza. Hii inasababisha povu jeupe kutokea kwenye midomo yao. Kama lugha yako inaweza elezea vizuri, itumie.