# ikatokea Baadhi ya lugha zinaweza kusema "kwenda" # aliongozwa na Roho Mtakatifu Hii inaweza kusemwa katika mtindo tendea. NI: "kama Roho Mtakatifu alivyo mwelekeza." # kwenye hekalu "katika kiwanja cha hekalu." Makuhani tu wangeliigia kwenye jengo la hekalu. # wazazi "wazazi' wa Yesu" # desturi ya sheria "desturi ya sheria ya Mungu" # Sasa mpe ruhusa mtumishi wako aende kwa amani "Mimi mtumishi wako; niruhusu niende katika amani." Simeoni alikuwa anarejea kwake mwenyewe. # ondoka Hii ni tasifida imaanishayo "kufa" # kutokana na neno lako "kama ulivyosema" au "kwasababu ulisema ningeli"