# kugeuka dhidi yao Hii huwakilisha kuwapinga> : "kuwapinga wao" # iwapo mioyo yao isiyotahiriwa itanyenyekezwa Hapa ule msemo "mioyo isiyotahiriwa" humaanisha nafsi nzima. : " kama wao watakuwa wanyenyekevu badala ya kukaidi kwa ushubavu" # nami nitalikumbuka agano langu na Yakobo, agano langu na Isaka, agano langu na Abrahamu "Kukumbuka " ni nahau inayomaanisha kukumbuka kwa makusudi. Hapa inawakilisha kutimiza agano lake. : "kisha nitatimiza agano nililofanya na Yakobo, Isaka na Abrahamu" # nitaikumbuka nchi "Kukumbuka " ni nahau inayomaanisha kukumbuka kwa makusudi." Hapalinawakilisha nchi. : "Nitatimiza ahadi yangu juu ya nchi"