# mwaka wa hamsini Hii ni namba ya mpango. : "mwaka wa 50" # Yubile kwa ajili yenu Yubile ulikuwa mwaka ambao Wayahudi walipaswa kurejesha ardhi kwa wamiliki wake wa asili na kuwaacha huru watumwa. : "mwaka wa urejesho kwa ajili yenu" au "mwaka kwenu wa kurudisha ardhi na kuacha huru watumwa" # mali na watumwa ni lazima warejeshwe Hii yweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "yawapasa kurudisha mali na watumwa"