# hakika atauawa Tazama maelezo ya sura 20:12 # ni lazima mmuuwe mwanamke huyo pamoja na mnyama. Kwa hakika ni lazima wauawe VIshazi vyote viwili humaanisha kitu kimoja. Vina sisitiza kwamba mwanamke an mnyama sharti wauawe. # Kwa hakika ni lazima wauawe Tazama maelezoya sura 20:12