# Taarifa kwa ujumla Katia sura ya 8 Musa anawaweka wakfu Aroni na wanawe wawe makuhani kulingana na aagizo ya Yahweh ambayo aliyaamru katika kitabu cha Kutoka # mavazi "Mavazi ya kikuhani" au "nguo walizavaa makuhani"