# kitu chochote kilichonajisi Kitu fulani ambacho Yahweh amekitaja kuwa hakifai kugusa au kula kinazungumziwa kana kwamba kilikuwa si safi kimaumbile. # iwe ni unajisi wa binadamu, au wa mnyama aliyenajisi, "Mtu" hapa mumaanisha wanadamu kwa ujumla. : "ikiwa wa mtu au wa mnyama # au wa kitu fulani kilichonajisi na chenye kuchukiza au wa unajisi fulani wa kitu ambacho humchukiza Yahweh # lazima mtu huyo akatiliwe mbali kutoka kwa watu wake. Tazama maelezo katia sura ya 7:19. Hii pia yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji.