# Yahweh amemwamru yeye yasitendwe Watu wote wa Israeli waliamriwa wasitende dhambi. Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Yahweh aliwaamru watu wasiyatende" # dhambi yake aliyoitenda itakuwa imejulikana kwake Hili laweza kutmkwa katika mtindo tendaji. : "naye amekuwa na ufahamu juu ya dhambi aliyoitenda.