# Sentesi Unganishi Shairi lipya laanza # chini ya gongo la hasira ya Yahweh Ngongo ni fimbo watu waliyo tumia kupiga na kuadhibu mtu. # kutembea kwenye giza kuliko kwenye nuru Hii ina maanisha kuishi kwenye kuchanganyikiwa pamoja na giza. # amenigeuzia mkono wake dhidi yangu "amekuwa adui wangu" au "anatumia nguvu yake kunihukumu"