# watu hawa...kazi yao...wana Hawa inarejea kwa watu waovu. # wa saba katika orodha ya Adamu Kizazi cha saba kutoka kwa Adamu. Baadhi ya tafsiri husema sita katika orodha ya Adamu inategemeana kama Adamu anahesabika kama kizazi. # Tazama, Bwana "taarifa, Bwana", au "tazama, bwana" # mambo yote magumu "maneno yote makali" # manung'uniko, walalamikao Watu walio na moyo usio na utii. Wanung'unikao huwa wanafanya hivi kimya kimya, Walalamikao hufanya hivi kwa uazi zaidi. # wajivunao mno Watu wanao jisifu wenyewe ili kwamba wengine wawasikie.