# walimpa urithi Yoshua mwana wa Nuni kutoka miongoni mwao Mji ambao Yoshua alipokea unasemwa kana kwamba ulikuwa ni urithi ambao waliupokea kama mali ya kudumu # Timnathi Sera Hili ni jina la mji