# Upigaji wa kura wa mara ya sita Tafasiri kirai hiki kama ulivyofanya katika 19:1 # ya sita namba ya sita katika orodha # walipewa kufuatana na koo zao Hii inaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "ambayo Yoshua aliwapa kwa koo zao # Helefu...Zaananimu...Adaminekebu...Yabuneeli...Lakumu...Zazinothi Tabori Hukkoki Haya ni majina ya miji