# Maelezo ya jumla Mwandishi anaorodhesha miji ambayo ilikuwa katika nchi ambayo kabila la Simoni waliipokea kama urithi wao. # Urithi waliokuwa nao Nchi na miji ambayo kabila la Simoni liliipokea inasemwa kana kwamba ulikuwa ni urithi ambao waliupokea kama mali ya kudumu.