# Nchi iliyosalia ndio hii Unaweza kuifafanua kwamba nchi ya Israeli ilikuwa bado inahitaji. # Shihori Hili ni jina la mahali # inayofikiriwa kuwa ni mali ya Wakanaani; Kauli hii inawezaa kuelezwa kwa muundo tendaji. "ambayo Wakanaani hufikiri kuwa ni mali yao." # Waavi Hili ni jina la kikundi