# Watu wa Israeli inalirejelea taifa lote la Israeli # Wahivi Hili ni jina jingine la Wagibeoni # Huenda mnaishi karibu nasi. Twawezeje kufanya agano nanyi? Yoshua anatia mkazo kuwa watu wa Israeli lazima wafuate amri ya yahweh juu ya vitu vyote. "kama mnaishi karibu nasi, hatuwezi kufanya agano nanyi"