# Sentensi kiunganishi Yahweh anaendelea kuongea na Yoshua na kumwambia kitu cha kuwaambia watu # Watu Inarejelea watu wa Israeli # Hamtaweza kusimama mbele ya maadui zenu Kusimama mbele za maadui zao kuna maana ya kupigana kwa mafanikio dhidi yao. "Hamtaweza kuwashinda maadui zenu"