# Kisha wakamwambia Yona "Kisha wale watu waliokuwa wakifanya kazi katika meli wakamwambia Yona" # Tafadhali tuambie ni nani ndiye sababu ya mabaya haya yanayotupata "Ni nani aliyesababisha jambo hili baya ambalo linatupata?" # kumhofia Bwana Neno "hofu" linamaanisha Yona anamheshimu sana Mungu. # Ni nini hiki ambaco umekifanya? Watu katika meli walitumia swali hili la kuvutia ili kuonyesha jinsi walipokuwa wakiwa na uchungu na Yona. AT "Umefanya jambo baya." # alikuwa akikimbia mbele za uwepo wa Bwana Yona alikuwa akimkimbia Bwana. Yona alikuwa akitaka kumkimbia Bwana kama Bwana alikuwapo tu katika nchi ya Israeli. # kwa sababu alikuwa amewaambia Nini aliwaambia inaweza kuelezwa wazi. AT "kwa sababu alikuwa amewaambia "ninajaribu kuondoka mbali na Bwana"