# Taarifa za jumla Mungu anaongea na watu wa mataifa yaliyozunguka Israeli. # kwa nini unanikasilikia Mungu hutumia swali hili kuwashawishi watu wa Tiro, Sidoni na Ufalme. AT "Huna haki ya kunikasikia" # Je! mutanirudishia malipo? 'Je, utajipiza kisasi?' Mungu anatumia swali hili kuwafanya watu kufikiri juu ya kile wanachokifanya. AT 'Unafikiri unaweza kulipiza kisasi juu yangu' # mara moja nitawarudishia malipo yenu juu ya vichwa vyenu wenyewe Hapa neno "kichwa' linamaanisha mtu. Kisasi ambacho walitaka kuelekea Bwana, atawafanyia. AT "Nitawafanya uhukumiwe kwamba ulijaribu kuniweka" # nitawarudishia kulipiza kisasi" au "kulipa"