# Hakika midomo yangu haitanena uovu, wala ulimi wangu kusema uongo "midomo yangu" na "ulimi wangu" vifungu hivi vyote vina maana moja na vimetumika kusisitiza kwamba Ayubu hatasema mambo yasiyofaa. KTN: "Hakika sitasema ouvu au uongo" # haitanena uovu...kusema uongo "uovu" na "uongo" ni majina dhahania yanayoweza kuelezea "kwa uovu" na "kwa udanganya" KTN: "kunena kwa uovu... kusema kwa udanga udanganyifu" # Sitakubali kwamba ninyi watatu mpo sahihi "sitakubaliana nanyi na kusema kwamba ninyi watatu mpo sahihi" # sitaukana uadilifu wangu "sitaacha kusema ya kwamba mimi si mwenye hatia" au " daima nitasema ya kuwa mimi mwadilifu"