# hulinyosha anga la kaskazini juu ya nafasi wazi anga la kaskazini linawakilisha mbingu, sehemu ambapo Mungu huishi pamoja na viumbe alivyoviumba huko. # huyafunga maji kwenye mawingu yake mazito mawingu yanazungumziwa kana kwamba ni bulanketi kubwa ambapo Mungu huyafunga maji ya mvua. KTN: "Huyafunga maji katika mawingu yake mazito" # walakini mawingu hayapasuki chini yake KTN: "Lakini uzito wa maji haupasui mawingu"