# Maelezo ya jumla Katika mustari wa 13 kuna kituo katika mtiririko wa habari kama ambavyo Yohana unaongelea kuhusu wanafunzi wa Yesu kutokuelewa kile ambacho Yesu alimaanisha aliposema kuwa Lazaro amelala. # kama amelala Wanafunzi walidhani kuwa Lazaro amepumzika tu na baadaye ataamka.