# waliokwenda Hawa ni watu walioweza kukimbia katika kipindi cha uharibifu wa Moabu. # Kivuli cha Heshiboni sehemu salama katika mji wa Heshboni. # kwa kuwa moto utatoka Heshboni, miale toka katikati ya Sihoni Hii ina maana kuwa uharibifu wa Moabu utaanza na kusambaa toka Heshiboni. # Paji la uso wa Moabu na juu ya vichwa vya watu wenye kujivuna Hapa wanazungumziwa watu wa Heshboni na viongozi wao. # Paji la uso Ni sehemu ya uso iliyoko juu ya macho. Ni ishara ya kujivuna. # Juu ya vichwa vya watu wenye majivuno. Hapa wanazungumziwa watu muhimu wa Moabu kama wakuu na viongozi.