# Ilikuwa "Ikawa" Neno hili lilitumika kuonesha mwanzo wa sehemu mpya ya simulizi. # Eneo la nchi "sehemu ya nchi" # Kati ya watu wake "kati ya ndugu zake" Yeremia alikua anatoka katika mji wa Anasosi katika nchi ya Benyamini. # Lango la Benyamini Hili ni jina la mlango. # Yeria Hili ni jina la mtu # Shelemia Hili ni jina la mtu # Hanania Hili ni jina la mtu. # Kuhamia kwa Wakaldayo "Kukimbilia kwa Wakaldayo"