# hakuna kitu katika mmacho na moyo wako "hakuna kitu katika mawazo yako na hisia" # faida yako Hii ni kupata pesa kwa kudanganya au kwa kutumia njia zisizofaa. # kumwaga damu isiyo na hatia "kuua watu wasio na hatia" # kuwafanyia jeuri wengine "kufanya vurugu kwa wengine ili kupata fedha" # Ole, ndugu yangu! ...... Ole, dada yangu!.....Ole, bwana!....Ole, utukufu! Bwana hutumia neno "Ole" mara kadhaa kwa msisitizo. Anawaambia watu mbalimbali ambao kwa kawaida wataonyesha huzuni kubwa wakati mtu anapokufa. # Atazikwa maziko ya punda, ataburuzwa mbali na kutupwa nje "Watauzika mwili wa marehemu kama ambavyo wanaweza kumzika punda aliyekufa; watauburuza na kuutupa nje"