# nitaujenga au kuupanda Hizi vitenzi viwili kimsingi inamaanisha kitu kimoja na kusisitiza baraka za Mungu. # kuupanda Kifungu hiki kinalinganisha baraka za Mungu kwa kuuweka kwa makini mmea katika bustani # mabaya machoni pangu Macho ya Bwana hutaja kwa Yahweh mwenyewe. AT "mambo ambayo nadhani ni mabaya" au "mabaya kulingana na mimi" # kutosikiliza sauti yangu "wasioti amri zangu" au "wasiozingatia kile nilichosema"