# Taarifa kwa ujumla Haya ni maneno ya BWANA juu ya nyumba ya Yuda. # Kwa kuwa vifo vimekuja kupitia dirishani BWANA anasema kuwa BWANA atakapowaangamiza watu wa Israeli watalinganisha kifo na mtu anayeingia kuptia dirishani kwa lengo la kuangamiza watu waliojificha ndani yake # mahali petu Nyumba zenye maboma ambapo wafalme huishi. Kifo kinachokuja kwa tajiri na masikini kinafanana. # vinaharibu watoto kutoka nje "Kifo kinaua watoto mitaani." # na vijana kweye viwanja vya mji "na kifo kinaua vijana kwenye viwanja vya mjij." # viwanja vya mji "maeneo ya maasoko" # asema BWANA Tazama 1:7 # mizoga ya wanaume itaanguka mavi kwenye mashamba, na kama mabua baadaya mvunaji "maiti zitatapakaa maeneo yote." # na kama mabua baada ya mvunaji "na kama mabua yaangukapo kila mahali baada ya mkulima kuyakata." # na hapakuwa namtu wa kuyakusanya "na hapatakuwa namtu wa kukusanya maiti"