# Huu ubani unaopanda kutoka Sheba una maana gani kwangu? au huu udi kutoka nchi ya mbali? Sihitaji ubani kutoka Sheba au harufu nzuri ya mafuta kutoka nchi ya mbali? # huu udi Hii harufu nzuri ilitumiKa kumwabudu Mungu hekaluni # hazikubaliki kwangu "havinifurahishi" # Tazama neno "tazama" hapa linaongeza msisitizo kwa kile kiinachofuata, "kwa kweli" # Niko tayari kuweka kikwazo dhidi ya watu hawa ""Niko tayari kuweka kikwazo mbele ya watu hawa" # kikwazo magumu # juu yake "juu yao" # baba na watoto wao "baba na watoto wote watajikwaa" # wakazi na jirani zao "majirani na marafiki" # limechochewa kutoka nchi ya mbali "limehuhishwa ili lije kutoka maeneo ya mbali"