# Simba anakuja "jeshi lenye nguvu na kali linakuja" # kichaka ni jumla ya mimea inayokua pamoja # ameanza kuja "ameanza kusogea" # hofu kuogopa, kutetemeka # lieni kilio cha sauti na na huzuni na toba kwa sababu ya kutenda dhambi