# akapafungua mahali pa shimo "akapafungua mahali pa shimo" Hii ni sehemu ya chini ambayo Bwana alisababisha maji ya chemchemi yatoke. # Lehi Hili ni jina la mji uliopo Yuda. # nguvu zake zikarejea na akahuishwa "akapata nguvu tena" au "nguvu zake zikarejea" # Enhakore Hili ni jina la chemchemi. # ni huko Lehi hadi leo "chemchemi ipo mpaka leo huko Lehi" # katika siku za Wafilisti "Katika wakati wa Wafilisti kuwatawala Waisraeli" # miaka ishirini "miaka 20"