# Watu elfu tatu wa Yuda "watu 3,000 wa Yuda" # mwamba la Eatamu Hili ni jina la mwamba lililopo karibu na Yerusalemu. # Je, hujui kwamba Wafilisti hutawala juu yetu? Je! umetutendea nini? "Unajua kwamba Wafilisti wanatutawala lakini unafanya kama vile hawatutawali. Unayoyafanya yanatusababishia madhara makubwa." # Kwa kadiri walivyonitendea mimi, vivyo hivyo nimewatendea wao. "Wamemuua mke wangu hivyo nimewaua na wao"