# Kwa ulimi tuna. "Tunatumia ndimi zetu kusema maneno ambayo." # Tunawalaani watu. Kumuomba Mungu awaumize wengine # Ambao wameumbwa katika sura ya Mungu. "Ambaye Mungu amemfanya katika sura yake." # Kutoka kinywa kilekile inatoka baraka na laana Maneno yaliyobeba baraka na laana yanatoka katika kinywa cha mtu. # Ndugu zangu. "Wakristo wenzangu" # Mambo haya hayapaswi kuwa hivyo. "Hili ni kosa."